Blogs

Heineken Tanzania yafana ndani ya Nyama Choma Festival

Mmoja wa wadau wakubwa wa kilaji cha Heineken akipata kitu chake mwanana kabisa ndani ya Banda la Heineken wakati muendelezo wa Tamasha la Nyama Choma,lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Posta,jijini Dar es Salaam. Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Muigizaji wa Filamu nchini,Baby Madaha akiwa pamoja na Marafiki zake wakiburudika na kilaji cha Heineken ndani ya Nyama Choma. 
Marafiki wakiweka pose ndani ya Nyama Choma Festival Mambo yalinoga kweli kweli siku hiyo ndani ya Banda la Heineken.

Events Calendar

May   2019
S M T W T F S
      1 2 3 4
5 6 7 8 9 10 11
12 13 14 15 16 17 18
19 20 21 22 23 24 25
26 27 28 29 30 31  

Events By City